NADEKEZWA LYRICS BY MBOSSO


Hook
Hohohoo hohoo hoho,
Hohohoo hohoo hoho

Verse 1
Salamu, ulizo nitumia ah, 
Zimenifikia  ah 
Nipo salama hata usijali 
Nalishwa vitamu, Vinono najilia ah 
Biliyani yangamia ah
Penzi twa dalikana poo kidali 
Nimekusahau, Nakumbuka tuu lako jina
Kidogo angaluu, Umeng'oa mizizi sio kukatashina 
Penzi wakapanda dau ah, Mjini baba pesa fitina 
Mimi ukanidharau, Visenti haba mfuko umechina
Na ndo uwezo wangu ulipo ishia, Ningekupa nini tena 
Kula yangu yakupapasia, hukumweza ukaatema
Mi sina gari, Ningekupa nini tena (ooohoohoo) 
hukumweza ukaatema (Eeeheeehee)

Chorus
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… Nadeke…

Verse 2
Yani masham sham, mtoto kanikabiri 
oooh hoho 
Hadi na come come, kuminambili arufajiri 
Na nishamvesha nyota, cheochake kikubwa cha mapenzi 
Kanijaza kanichota, kanishika pabayaa 
Nakutaadharisha, simu zausiku punguza 
Unahatarisha, penzi langu moto kuunguza 
Nishakusahau, nakumbuka tuu lako jina 
Kidogo angaluu, Umengoa mizizi sio kukata shina 
Penzi wakapanda dau anh, Mjini baba pesa fitina 
Mimi ukanidharau, Visenti haba mfuko  umechina 
Nando uwezo wangu ulipo ishia, Ningekupa nini tena 
Kula yangu yakupapasia, hukumweza ukaatema 
Mimi sina gari, Ningekupa nini tena (ooohoohoo)  
hukumweza ukaatema (eeeheeehee)

Chorus
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… Nadeke…

Hook
Hohohoo hohoo hoho,
Hohohoo hohoo hoho

Whatch nadekezwa by mbosso here

SONG WRITTEN BY MBOSSO 

RELEASED JULY 2018 UNDER WCB

Comments

Popular posts from this blog

JIBEBE LYRICS BY WCB FT DIAMOND, MBOSSO & LAVA LAVA

NATAMBA LYRICS BY ASLAY