BAILA LYRICS BY DIAMOND PLATNUMZ
Verse 1
Kama unanipenda sana Umaarufu weka mbali eh Na ile nyumba ni ya mama Hivyo usiwaze madale Isiwe kesho madrama Pigiwa simu na tale Eti insta natukanwa Umesha anzisha kware Oh me moyo wangu Mwepesi kupenda na mgumu kusahau Moyo wangu Nateseka sana nayempenda akinidharau Moyo wanguuuu Hodari kugawa wakunipa sina Moyo wanguu Ndo maana nasisitiza usije enda wewee
Chorus Baila baila baila×3 bailaaa mamaaa Baila baila baila×3
bailaaa mamaaa
Instrumental
Verse 2 Mmm Ah muziki vita, hawataki niendelee Hivyo ukipata nafasi, tafadhali niombeee Na nyumbani visa, ndugu zangu wazoeee Itaniumiza nafsi, ikifikia musiongee Na mashemeji kwa ofisi unapocheka nao Tahadhari sana Siunajua wanamuziki vitabia vyao Wamejawa tamaa Na dada zangu, mawifi chunga nyendo zao Usipelekwe mrama Wakikuumbia kaniki mara chota nyayo Jua mumeo na kwama
Hook
ah ah Utamu wa bigijii, nikutafuna Usimeze urodaaa, ongeza tu bidii Kunikuna, sio kuniroga Kunikomba zaidii, pika nguna Ntaleta mbogaa, Unipe na ka babii Kwetu sunna, nshushie na soda Yani moyo wangu, mwepesi kupenda mgumu kusahau Moyo wangu Nateseka sana nampenda akinidharau Moyo wanguuuu Hodari kugawa wakunipa sina Moyo wanguu Ndo maana nasisitiza usije na wee
Chorus
Baila baila baila (Bailandoooo) Baila baila baila (Baila kipenzii) Baila baila baila (Eeeh) (Bailandoooo) Baila baila baila (Baila kituuu) Bailaa baila bailaa (Baila me hoi) Baila baila baila (Eeeh) (Bailandooo)
Instrumental
Bridge
Usiseme you love me then you lie iii Usiseme you love me then you liiie aah Aahhh Usiseme youlove me then you lie mmmh Usiseme love then u liiie aahhh
Chorus Baila baila baila ×3
Baila mamaaa Baila baila baila ×3 (oooh baila) Baila baila baila ×3 (baila kipenzi) Baila mamaa
Watch Baila by Diamond Platnumz here
Comments
Post a Comment