HODARI LYRICS BY MBOSSO


Intro
La la lalaaa La La Lalalaa Lala lalaa

Verse 1 Shombe shombe mtoto laini laini, Anawakawakaaa aaah aaaah Wanga wape vidonge nimebaini baini Wanatapatapaaa aaah aaah aaaah Mmmh mi na we mpaka Kiama, tuombe Uzima Waroge Kwa kuchutama na wasimame wimaa Kamwe hawatopata mwanya habidhi fitinha Wavige mabiringanya si tutoke dina
Hook Nalegeaa aah, ukinitazma yako macho, yako machoo Ah, Nalegeaa aah, ikigusana Yangu na yako, Yangu na yako
Chorus Katoto hodarii Hodari wa mapenzi Jamani hodari Hodarii wa mapenzi Kwa michezo ya chumbanii hodaaari
Hodari wa mapenzi
Mtundu kitandani hodari
Hodari wa mapenzi

Verse 2 Katoto Nyakanga kamemzidi somo na kugwi Chumbani Kiranga kinaishaga komo Kirungi Ni sakata makirikiri kuniwasha ka pilipili Fundi hasa amekithiri kunipa nilewee Kwasa Kwasa Ndani bingiri Za kukata saga kachili nani Haswa unafikirii Kama si wewee, nichezeshe kidaluso Usiku wa mananee vangaa Nikande kipanda uso tufunikane kanga Nitishe boda la huko tukakutane tanga Sie pin wa uputo wasijichanganye watapasuka
Hook Nalegeaa aah, ukinitazma yako macho, yako machoo Nalegeaa aah, ikigusana Yangu na yako, Yangu na yako
Chorus Katoto hodarii Hodari wa Mapenzi Jamani Hodari Hodarii wa Mapenzi Kiuno kunengua hodarii Hodari wa Mapenzi Bidu kunibidua Hodari wa Mapenzi
Outro Wema Sepetu hodarii Hodari wa Mapenzi Uwoya hodarii Hodari wa Mapenzi Mama cookie hoodarii Hodari wa Mapenzi Mama Dangote hoodarii Hodari wa Mapenzi Jack Wolper Hodari Hodari wa Mapenzi Zari mama tiffa Hodari Hodari wa Mapenzi Ohesmakan Hoodari Hodari wa Mapenzi Elizabeth Micheal Hodari Hodari wa Mapenzi

SONG WRITTEN BY MBOSSO

RELEASED SEPTEMBER 2018




Comments

Popular posts from this blog

NADEKEZWA LYRICS BY MBOSSO

JIBEBE LYRICS BY WCB FT DIAMOND, MBOSSO & LAVA LAVA

NATAMBA LYRICS BY ASLAY