KATIKA LYRICS BY NAVY KENZO FT DIAMOND PLATNUMZ
Intro
yeeh yeeh
Noo no
Nahreal on the beat
Chorus (Nah real)
katika katika aah eh
katika katika aah eh
katika katika aah eh
Verse 1 (Nah real)
Nina midadi ka ya rumba (Eh)
kibao kata kinyonga (Oh nah)
Mfukoni nna mavumba (Weh)
Mguuni chini nna sunta (eeeh eh)
Hook (Nah Real)
Yani bo bo bo bo bo
Kananikoshaga roho o o o
Yani nasimama de de de de de
Kkakitingisha wowowo wowowo
Baby girl dance for me one time (secreto)
Miuno feni kunata eh (secreto)
Tena jifunge na ngata (secreto)
Zile za kibao kata (secreto)
Baby girl dance for me one time (secreto)
Miuno feni kunata eh (secreto)
Tena jifunge na ngata (secreto)
Lalalala la la la la la eh
Chorus (Nah real)
katika katika aah eh
katika katika aah eh
katika katika aah eh
katika aaah eh
katika katika aah eh
katika katika aah eh
katika katika aah eh
Verse 2 (Diamond)
Oookay
Yani katoto ka ndi! kako ndi ndi ndi
Kamekazika na ngi ngi ngi
Nnyuma mbwi! kako mbwi mbwi mbwi
Kana mi sifa sha ngi ngi ngi
Nilikavizia kitambo (Aah eh)
Leo kameninasa chambo (Aah eh)
Ntakapakia na mgando (Aah eh)
Nikajegeje ka rambo (Aah eh)
Boombah eh!
Kana michezo ngomani, sindimba rizombe
Muhuni nampatia za pwani, muhogo wa jang'ombe
Hook (Diamond)
Yani eh eh eh eh eh
Kananikoshaga roho o o o
Uwaga nasimama de de de de de
Kakitingisha wowowo wowowo (Oyaah)
Ooh nabembea
Yani siwezi kutembea
Checheme nachechemea
Yani hadi naregea
Aki
Chorus (Nah real)
katika katika aah eh
katika katika aah eh
katika katika aah eh
katika aaah eh
katika katika aah eh
katika katika aah eh
katika katika aah eh
Verse 3 (Aika)
Maumivu naugulia, Mwiba ukizama nahisi mateso
Utamu nang'ang'ania, Ndizi kwa nyama napata mchecheto
Nakuna nazi kwa mkongojo (Aaah eh)
Naunga mchuzi wa sotojo (Aaah eh)
Uno la rosti rojo rojo (Aaah eh)
Mikunjo flani wabogojo (Aaah eh)
Kibao kata ntenteme ntenteme
Kilingeni kuzama uchutame
Uwezi pata we mpaka usimame
Aichagui mwembamba munene
Verse 3 (Diamond)
Nikalaze kwa bed kitanda eh (Kwa ghetto)
Nikachezeshe samba eh (Rocketo)
Nakalivyo na body kinanda eh (Sepeto)
Tunguli zimenibamba eh (Mobetto)
Mama!!
Chorus (Nah real)
katika katika aah eh
katika katika aah eh
katika katika aah eh
katika aaah eh
katika katika aah eh
katika katika aah eh
katika katika aah eh
WATCH KATIKA BY NAVY KENZO FT DIAMOND PLATNUMZ HERE
katika katika aah eh
katika katika aah eh
katika katika aah eh
katika aaah eh
katika katika aah eh
katika katika aah eh
katika katika aah eh
WATCH KATIKA BY NAVY KENZO FT DIAMOND PLATNUMZ HERE
Comments
Post a Comment