NINOGESHE LYRICS BY NANDY


INTRO
eeenhii mmmh yeee!!!

VERSE 1
Ai niwewe ubavu  wangu mwenyewe
Ukifa nizikwe nawewe ukifa uzikwe namie
Oh baby wewe

CHORUS
Ninogeshe
ninogeshe baby
baby ninogeshe
Ninogeshe
ninogeshe baby
baby ninogeshe

Makwachu kwachu kushea na watu sitaki [ooh baby]
Boda boda yangu vipi nipande mishikaki [siwezi]

basi Ninogeshe
ninogeshe baby
baby ninogeshe eeeh

HOOK
Raha Raha tupu kupendana nawewe
Raha tupu [Raha Raha  tupu kupendana nawewe]
Raha Raha tupu kupendana nawewe
Raha tupu [Raha Raha tupu kupendana nawewe]

VERSE 2
Unanipaga furaha ivo
ukuniacha utanipa jaka laa roho
Nipe mimi kwengine wewe useme no
mshinde ibirisi kwenye kichwa chako

Mi mwenzako mkiwa baba
mkiwa wa mapenzi baba
usinione nalia sana nalilia mapenzi
Mi mwenzako mkiwa baba
mkiwa wa mapenzi baba
usinione nalia sana nalilia mapenzi

Chochote utacho [ sawaa sawaa {baba} ]
nambia mimi nitalizia baba
ata ukiwa mbali mimi nitasubiria

CHORUS
Basi Ninogeshe
ninogeshe baby
baby ninogeshe
Ninogeshe
ninogeshe baby
baby ninogeshe

HOOK
Raha Raha tupu kupendana nawewe
Raha tupu [Raha Raha  tupu kupendana nawewe]
Raha Raha tupu kupendana nawewe
Raha tupu [Raha Raha tupu kupendana nawewe]

mmh mmmmh
eeeh iyeeyeyeee

Tusiwe jasonna ivanda
kisakosa [kupendana nawewe]
Pressure kupanda kushuka
kisaa nini [kupendana nawewe]

mi mwenzako na kupenda
Na furahi [kupendana nawewe]
Nivike pete ya roho isiyo toka
mmh!!

CHORUS
Raha Raha tupu kupendana nawewe
Raha tupu [Raha Raha  tupu kupendana nawewe]
Raha Raha tupu kupendana nawewe
Raha tupu [Raha Raha tupu kupendana nawewe]

YOU CAN WHATCH NINOGESHE VIDEO BY NANDY HERE

SONG WRITEN BY NANDY AND ASLAY

RELEASED MAY 2018

Comments

Popular posts from this blog

NADEKEZWA LYRICS BY MBOSSO

JIBEBE LYRICS BY WCB FT DIAMOND, MBOSSO & LAVA LAVA

NATAMBA LYRICS BY ASLAY