RUDI LYRICS BY RICH MAVOKO FT PATORANKING


Verse 1 - [Rich Mavoko]
Sauti na tabasamu lako
Ndio vinafanya nikukumbuke
Kinachoniumiza mwenzako
Unapolia chozi nsifute
Mapenzi sidhani mimi
Kilichobaki ni uadui
Kuniona hautamani kwanini
Kweli maziwa nimegeuka tui

Nami nina moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina moyo mama
Upate siku moja uje niona
Nami nina moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina moyo mama
Ungalisema neno moja ningepona

Chorus - [Rich Mavoko]
Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi)
Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi)
Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi)
Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi)
Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi)
Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi)
Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi)
Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi)

Verse 2 - [Patoranking]
Sickness Sickness Sickness small me
Well me yes, you are dumping me
In this wicked World
Baby every one needs a company

My heart bleeds
For your Love
Girl i bleed for your love
Me, Me can imagine
If u know dey me, what a sad ting (aaaaaeeeeeh)
I can't imagine
You inna me life girl what a sad ting

Nikiwa nawe mwenzako ndo napona
Na nikilala usiku ndotoni nakuona
Ukipata mafua me napa ka homa
I wanna be your Lover, your friend and your owner

Verse 3 - [Rich Mavoko]
Kwa mawazo silali mama yangu
Basi rudi ooh
Natamani ulitaje jina langu
Makusudi ooh
Nami nina Moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina Moyo mama
Upate siku moja uje niona
Nami nina Moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina Moyo mama
Ungalisema neno moja ningepona

Chorus - [Rich Mavoko]
Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi)
Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi)
Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi)
Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi)
Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi)
Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi)
Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi)
Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi)

Outro- [Rich Mavoko & Patoranking]
(Wasaaaafi)
Nimefuta na mabaya yako (ah eeh)
Sikutishi me kinyago wako (ah eeh)
Ninachotamani ni uwepo wako (ah eeh)
Kwenye nafsi upo peke yako (ah eeh)

Please don go (ayaya)
Girl please don go (ayaya)
Please don go (ayaya)
World best n Mavoko

WATCH RUDI BY RICH MAVOKO HERE

SONG WRITTEN BY RICH MAVOKO AND PATORANKING

RELEASED NOVEMBER 2017 UNDER WCB

Comments

Popular posts from this blog

NADEKEZWA LYRICS BY MBOSSO

JIBEBE LYRICS BY WCB FT DIAMOND, MBOSSO & LAVA LAVA

NATAMBA LYRICS BY ASLAY