SWAGIREE LYRICS BY WEUSI
Chorus (Joh makini & G Nako)
Ungana nasi ma mezani le
Temana nasi ka umekaa ki le x2
Usikae ki le (swagire)
Swagire x3
Maside le eh
Ungana nasi ma mezani le (ma mezani le)
Temana nasi ka umekaa ki le (ka umekaa ki le)
Mafala si ndo wamecatch eh (wamecatch le)
Mafala si ndo wamecatch eh
Verse 1 (G Nako)
Ahh, Hii ngoma si ya kitoto wapi ID
Watoto wanapinda vibinda, Nenda IG
Idea hapa ni kuwamaliza flow ni tichi
Vijana wamecorrupt medulla ita IT
Imekula, Wazee tuliwakatia genge
Imekula, Chuki zinaleta unenge
Imekula, Iki chuma chuma ulete
Imekula, Mganga MUNGU mambo ni yente
Hook (Joh Makini)
Viburi flow, viburi flow, viburi flow
Atukutani kwenye dirisha la malipo x2
Chorus (Joh makini & G Nako)
Ungana nasi ma mezani le
Temana nasi ka umekaa ki le x2
Usikae ki le (swagire)
Swagire x3
Maside le eh
Ungana nasi ma mezani le (ma mezani le)
Temana nasi ka umekaa ki le (ka umekaa ki le)
Mafala si ndo wamecatch eh (wamecatch le)
Mafala si ndo wamecatch eh
Verse 2 (Nikki wa pili)
Ni tick tack tu, Wakinitaka tu
Sema soon nisuhuze na roho zao, Wanichole na tatoo
Kwenye kiuno kama V, Money ndo CV
Brand IG, Jina kanizidi
Sio flow Jay Z
Heat me ninazo, Kama zote hizi
S2kizy au azime, And I'm going crazy
Wakishua, Kaa pembe
Ukiinua mapembe,Tunainua viwembe
Hook (Joh Makini)
Viburi flow, viburi flow, viburi flow
Atukutani kwenye dirisha la malipo x2
Chorus (Joh makini & G Nako)
Ungana nasi ma mezani le
Temana nasi ka umekaa ki le x2
Usikae ki le (swagire)
Swagire x3
Maside le eh
Ungana nasi ma mezani le (ma mezani le)
Temana nasi ka umekaa ki le (ka umekaa ki le)
Mafala si ndo wamecatch eh (wamecatch le)
Mafala si ndo wamecatch eh
Verse 3 (Joh Makini)
Tumeranda, tmetanda, tupo local
Walisanda,Pandisha bei ya sanda, Ni mazishi
Zima propa properganda, Zima kikiBounce, bounce, Hii ni kali
Mali kali yupo si anajua hii ni graph yajuu
Na haishuki, Sauti zatoka slow
Nikidondoka ni maunyama
Mnama kwa marombo kimeumana
Sakizia hawa watoto kwa joh si wanaumana
Uno tu, mitindo tu
Mikuno tu, Mikono juu eh
Hook (Joh Makini)
Viburi flow, viburi flow, viburi flow
Atukutani kwenye dirisha la malipo x2
Chorus (Joh makini & G Nako)
Ungana nasi ma mezani le
Temana nasi ka umekaa ki le x2
Usikae ki le (swagire)
Swagire x3
Maside le eh
Ungana nasi ma mezani le (ma mezani le)
Temana nasi ka umekaa ki le (ka umekaa ki le)
Mafala si ndo wamecatch eh (wamecatch le)
Mafala si ndo wamecatch eh
Verse 4 (lord eyez)
Nina catch shillings, Wana catch feelings
I'm in love with bitches, No hard feelings
Weusi si ndo chama tawala (hare hare)
Lazima kuungama si chama twawala (daily)
Maboya hawapigi hela, Hapa mjini heh (no no no)
Kaa kijanja usikae ki le, Swagire
Kipande hiki kinogire, Kinogire
Hili kombe la hela yote (wo wo wo wo)
Shusha izo chupa watu watote (wo wo woo)
Whatch Swagiree by Weusi here
Comments
Post a Comment