GO GAGA LYRICS BY LAVA LAVA
Abbah...
Verse 1
Ana, Jicho la kukonyeza, Ana mikogo ka shakira (mmh)
Nyuma mkia wa pweza, Shepu katapira
Mechi tunazo zicheza, kitandani fundi mpira
Ameniweza, Napumua kua mipira
Hook
Tena, kiuno laini, Chuchu dodo dodo
Kitovuni kipini, Mtoto jojo jojo
Avae dera kimini, Nyuma rojo rojo
Katoto ndizi maini, Yani sotojo tojo
Yih..
Chorus
Aah Go gaga (ah eh)
Fanya kama unataga (ah eh)
Tuzivunje chaga (ah eh)
Ongeza mazaga zaga (ah eh)
Ah Go gaga (ah eh)
Fanya kama unataga (ah eh)
Tuzivunje chaga (ah eh)
Ongeza mazaga zaga
Basi waonyeshe (waone)
Waone
Basi waonyeshe (waone)
Waonyeshe (waone)
Basi waonyeshe (waone)
Waone
Basi waonyeshe (waone)
Waonyeshe (waone)
Basi waonyeshe
Verse 2
Mungu alikuumba kwa udongo, We mtoto fire (fire fire)
Utaja nipa mazongo, Ukija retire (tire tire)
Eh
Nizidishie uhondo, Stimu za kaya (kaya kaya)
Si chururu ndondondo, Penzi likapwaya (pwaya pwaya)
Unavyo nichanganya manuva (iyeh)
Kiuno speed kama msuva (iyeh)
Kwako napoona (mmh)
(ih)
Maajabu samaki nguva (iyeh)
Mchezoni unavyo nifunga funga (iyeh)
Magori ya koona (mmh)
Hook
Tena, kiuno laini, Chuchu dodo dodo
Kitovuni kipini, Mtoto jojo jojo
Avae dera kimini, Nyuma rojo rojo
Katoto ndizi maini, Yani sotojo tojo
Yih..
Chorus
Aah Go gaga (ah eh)
Fanya kama unataga (ah eh)
Tuzivunje chaga (ah eh)
Ongeza mazaga zaga (ah eh)
Ah Go gaga (ah eh)
Fanya kama unataga (ah eh)
Tuzivunje chaga (ah eh)
Ongeza mazaga zaga
Basi waonyeshe (waone)
Waone
Basi waonyeshe (waone)
Waonyeshe (waone)
Basi waonyeshe (waone)
Waone
Basi waonyeshe (waone)
Waonyeshe (waone)
Basi waonyeshe
Whatch Go Gaga by lava lava here
Aah Go gaga (ah eh)
Fanya kama unataga (ah eh)
Tuzivunje chaga (ah eh)
Ongeza mazaga zaga (ah eh)
Ah Go gaga (ah eh)
Fanya kama unataga (ah eh)
Tuzivunje chaga (ah eh)
Ongeza mazaga zaga
Basi waonyeshe (waone)
Waone
Basi waonyeshe (waone)
Waonyeshe (waone)
Basi waonyeshe (waone)
Waone
Basi waonyeshe (waone)
Waonyeshe (waone)
Basi waonyeshe
Whatch Go Gaga by lava lava here
Comments
Post a Comment