ZAIDI LYRICS BY JUX
Its bob manecky
Na na na na×4
Verse 1
Zinanitoka goose bums, Nikisikia jina lako
Mimi naweukaa, Kabisa me ni chizi wako
Na kama ni mganga eeeh
Mzuri uyo mganga wako
Sio kwa kunipumbaza uku, Baby
Mmhh
Hook
Mamy ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh
Tena na sukari guru, Utamu nikitafuna eeeh
Baby ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh
Tena na sukari guru utamu nikitafuna eeeh
Mmh
Pre - Chorus
Kama ni pili pili maa (na na na na)
Na na na ah
Acha ukali niusikie (na na na na)
Na na na ah
Kama nivita mama (na na na na)
Na na na ah
Acha adui wanivamie (na na na na)
Na na na ah
Kama we ni asali maa (na na na na)
Na na na ah
Acha na nyuki wanivamie (na na na na)
Na na na ah
Lakini penzi lako baby (na na na na)
Na na na ah
Ata kidogo lisipungue (na na na na)
Na na na ah
No no nooooo
Chorus
Zaidi zaidi zaidi zaidi (mhmhh)
Nipe nipe Zaidi zaidi (mhmhh)
Wewe zaidi zaidiii (zaidii)
Wewe nipe zaidi zaidi (zaidiii)
Verse 2
Haya yaya yaaah yaaah...
Haya yaya haya yaya yaaaah...
Nanyoosha mikoni juu, kwako me nimesurrender
Naona maajabu Sungura kazidiwa ujanja
Nimekuwa zuzu zuzu zuuu
Nimekuwa bubu bubu buuu
Nimekuwa mbumbu mbuu baby eh
Nimekuwa zaidi ya nyumbu
Sioni sisikiii... (aaah)
Sioni sisikii baby eeh
Pre - Chorus
Kama ni pili pili maa (na na na na)
Na na na ah
Acha ukali niusikie (na na na na)
Na na na ah
Kama nivita mama (na na na na)
Na na na ah
Acha adui wanivamie (na na na na)
Na na na ah
Kama we ni asali maa (na na na na)
Na na na ah
Acha na nyuki wanivamie (na na na na)
Na na na ah
Lakini penzi lako baby (na na na na)
Na na na ah
Ata kidogo lisipungue (na na na na)
Na na na ah
No no nooooo
Chorus
Zaidi zaidi zaidi zaidi (mhmhh)
Nipe nipe Zaidi zaidi (mhmhh)
Wewe zaidi zaidiii (zaidii)
Wewe nipe zaidi zaidi (zaidiii)
Hook
Mamy ongeza ubuyu, Nizidi kuumumunya eee
Tena na sukari guru, Utamu nikitafuna eee
Baby ongeza ubuyu, Nizidi kuumumunya eeee
Comments
Post a Comment