MWAMBIE SINA LYRICS BY KINGS MUSIC (ALIKIBA, ABDU KIBA, CHEED, K2GA, KILLY)


Verse 1 (Killy)
Nafsi inalalama, Sina  mwambiee
Kila nikimtazama kwa kina kiukweli

Mmwambie silali, Tena ananipa tabu
Kwake me sina hali, Ninampenda yeye tu
Oooh, Sina, sina aaa, sina mwambieni
Ye ndo dawa yangu, (Dawa)
Sina (dawa), sina aaah
Sina mwambieni ooh

Chorus (Alikiba)
Mwambie sina, Wakutamba nae (sina mie)
Mwambie sina, Wa kuringa nae (sina mie)

Mwambie sina, Wakutamba nae (sina mie)
Mwambie sina, Wa kuringa nae (sina mie)

Kama ni gari me, Nimpatie yeye (anijue)
Kama ni nyumba me, Nimpatie yeye (anitambue)

Kama ni gari me, Nimpatie yeye (anijue)
Kama ni nyumba me, Nimpatie yeye (anitambue)

Verse 2 (Cheed)
Nenda mwambie mimi sina oooh, Wa kumpa siri zangu anitunzie moyo
Tena mwambie mimi niko hoi, Me nampenda aiyo iyo iyo iyo

Me napenda hesima, Atulie nimuweke ndani
Kanichapa usinga, Kanifunga mdomo siachami
Ona napata shida ya moyo why yoyo ma
Mamy yo yo mamy yo yo yey (wakutamba nae)

Chorus (Alikiba)
Mwambie sina, Wakutamba nae (sina mie)
Mwambie sina, Wa kuringa nae (sina mie)

Mwambie sina, Wakutamba nae (sina mie)
Mwambie sina, Wa kuringa nae (sina mie)

Kama ni gari me, Nimpatie yeye (anijue)
Kama ni nyumba me, Nimpatie yeye (anitambue)

Kama ni gari me, Nimpatie yeye (anijue)
Kama ni nyumba me, Nimpatie yeye (anitambue)

Verse 3 (K2ga & Abdul kiba)
Ona me nakosa raha, Amani sina
Sina ninacho taka, Wewe ndo wa pekee
Skendo nitende vipi, Wabongo wanitangazee
Wanasema unadanga, Kwangu ni danga che

Yani ni kwa ape (pe) che (che) alolo
Kama madebe, madebe, madebe , madebe
Kama madebe, madebe, madebe , madebe
Baadae (mimi nawe)
Badae (cheri wangu)
Baadae (oo ooh)
Baadae (la la)

Baadae (mimi nawe)
Badae (tutaonana aaa aahh, oo oooh)
Baadae
Baadae

Chorus (Alikiba)
Mwambie sina (mwmbie sina), Wakutamba nae (sina mie)
Mwambie sina (ooh yeh yeh), Wa kuringa nae (sina mie)

Mwambie sina, Wakutamba nae (sina mie)
Mwambie sina , Wa kuringa nae (sina mie)

Kama ni gari me, Nimpatie yeye (anijue)
Kama ni nyumba me, Nimpatie yeye (anitambue)

Kama ni gari me, Nimpatie yeye (anijue)
Kama ni nyumba me, Nimpatie yeye (wakutamba nae)

WATCH MWAMBIE SINA BY KINGS MUSIC HERE

SONG WRITTEN BY ALIKIBA, ABDU KIBA, CHEED, K2GA, KILLY

RELEASED OCTOBER 2018UNDER KINGS MUSIC









Comments

Popular posts from this blog

NADEKEZWA LYRICS BY MBOSSO

JIBEBE LYRICS BY WCB FT DIAMOND, MBOSSO & LAVA LAVA

NATAMBA LYRICS BY ASLAY