NAOGOPA LYRICS BY RICH MAVOKO
Verse 1
Nipige guiter keyboard, Au ni sing I swear
Niimbe tamu melody, Au.........................
Remember mtukuzi toddi, Ukumbuke we
Niforce nilipe kodi, Niishi na wee
Nimeridhika mtoto we maridhawa, Kwa umbo
Patashika shinji kagawa, Kiungo
Kama nakuona unaingia chumbani (unaingia chumbani)
Nakuona unapanda kitandani eeh
Kama nakuona unaingia chumbani (unaingia chumbani)
Nakuona unapanda kitandani eeh
Hook
Ooh my sweet baby
Aaah, I miss you oh (umebeba moyo wangu)
Aaah, I love you oh (my sweet baby)
Aaah, I miss you oh (umeninogesha kwa chachandu baby baby baby eh)
Aaah, I love you oh (my sweet baby oh)
Chorus
Naogopa ugonjwa wa moyo huo
Ah ugonjwa wa moyo huo
Naogopa ugonjwa wa moyo huo
Moyo nitaubebaje
Naogopa ugonjwa wa moyo huo
Ah ugonjwa wa moyo huo
Naogopa ugonjwa wa moyo huo
Kukuacha naanzaje
Verse 2
Aah ah, Salima mama salima, Papi kocha seya salima (seya wamiparo)
Aah ah, Naima kweli naima, Umenihaibisha kisa karina
Ule mchupa wa chideo, chideo na mchideo
tulikuona kwenye chideo, chideo na chideo
Ka mchezaji kapewa ndondo (kocha kocha)
Mimi kwako kuku mdondo (kocha kocha)
Penzi upofu, Mmwenzako chongo, penzi oh
My sweet baby oh
Hook
Ooh my sweet baby
Aaah, I miss you oh (umebeba moyo wangu)
Aaah, I love you oh (my sweet baby)
Aaah, I miss you oh (umeninogesha kwa chachandu baby baby baby eh)
Aaah, I love you oh (my sweet baby oh)
Chorus
Naogopa ugonjwa wa moyo huo
Ah ugonjwa wa moyo huo
Naogopa ugonjwa wa moyo huo
Moyo nitaubebaje
Naogopa ugonjwa wa moyo huo
Ah ugonjwa wa moyo huo
Naogopa ugonjwa wa moyo huo
Ooh my sweet baby
Aaah, I miss you oh (umebeba moyo wangu)
Aaah, I love you oh (my sweet baby)
Aaah, I miss you oh (umeninogesha kwa chachandu baby baby baby eh)
Aaah, I love you oh (my sweet baby oh)
Chorus
Naogopa ugonjwa wa moyo huo
Ah ugonjwa wa moyo huo
Naogopa ugonjwa wa moyo huo
Moyo nitaubebaje
Naogopa ugonjwa wa moyo huo
Ah ugonjwa wa moyo huo
Naogopa ugonjwa wa moyo huo
Kukuacha naanzaje x2
WATCH NAOGOPA BY RICH MAVOKO HERE
WATCH NAOGOPA BY RICH MAVOKO HERE

Comments
Post a Comment