NITAKE NINI LYRICS BY LAVA LAVA


Verse 1
Aaa eeh, ee eeh
Kkwako tena sitamani, Nilishajua nilivaba huna jiipya
Kurudi haiwezekani, Nishalioga janaba nikajisafisha
Mmmh
Oh maradhi yangu, Yamepata muuguzi
Mola waangu, Amenivusha viunzi
Pole mwenzangu, Unaekesha kwa waganguzi
Nisahapata waangu, Anaejua nogesha chuzi

Hook
Naaa, ananipa mapenzi, Na kunijali dear
Ya nyuma niyasahau
Naaa, anamaliza tenzi, Kutwa kunisifiaa
Kwa methali na nahau

Chorus
Kwengine nitake nini (Ntang'ang'ana nag'ang'ania)
Oooh mimi (nang'ang'ana nang'ang'ania)
Sitaki madanga wa mjini (nang'ang'ana nang'ang'ania)
Oooh mimi (nang'ang'ana nang'ang'ania)

Ah atake cha uvunguni (saawa sawa)
Bingili za sakafuni (saawa sawa)
Michezo ya kusaka kunguni (saawa sawa)
Eh eh eh, Tom na jerry cartoon (saawa sawa)
Saawa

Verse 2
Uliposema wa nini, Ye aliwaza atanipata lini
Ngendembwe za nini, Na vijembe vya chini chini
Yupo makiini, Penzi kashalibana na pini
Anipenda miimi, Ajazoea kudhinidhini

Kwanza, Kakuzidi maarifa, Mpira tisini dakika
Nyavu anazitikisa aa eh
Mlangoni mpaka kwa dirisha, Pindu ananipindisha
Mtoto ananifikisha aa eh

Hook
Naaa, ananipa mapenzi, Na kunijali dear
Ya nyuma niyasahau
Naaa, anamaliza tenzi, Kutwa kunisifiaa
Kwa methali na nahau

Chorus
Kwengine nitake nini (Ntang'ang'ana nag'ang'ania)
Oooh mimi (nang'ang'ana nang'ang'ania)
Sitaki madanga wa mjini (nang'ang'ana nang'ang'ania)
Oooh mimi (nang'ang'ana nang'ang'ania)

Ah atake cha uvunguni (saawa sawa)
Bingili za sakafuni (saawa sawa)
Michezo ya kusaka kunguni (saawa sawa)
Eh eh eh, Tom na jerry cartoon (saawa sawa)
Saawa


SONG WRITTEN BY LAVA LAVA

RELEASED OCTOBER 2018 UNDER WCB 



Comments

Popular posts from this blog

NADEKEZWA LYRICS BY MBOSSO

JIBEBE LYRICS BY WCB FT DIAMOND, MBOSSO & LAVA LAVA

NATAMBA LYRICS BY ASLAY