NADEKEZWA LYRICS BY MBOSSO
Hook Hohohoo hohoo hoho, Hohohoo hohoo hoho Verse 1 Salamu, ulizo nitumia ah, Zimenifikia ah Nipo salama hata usijali Nalishwa vitamu, Vinono najilia ah Biliyani yangamia ah Penzi twa dalikana poo kidali Nimekusahau, Nakumbuka tuu lako jina Kidogo angaluu, Umeng'oa mizizi sio kukatashina Penzi wakapanda dau ah, Mjini baba pesa fitina Mimi ukanidharau, Visenti haba mfuko umechina Na ndo uwezo wangu ulipo ishia, Ningekupa nini tena Kula yangu yakupapasia, hukumweza ukaatema Mi sina gari, Ningekupa nini tena (ooohoohoo) hukumweza ukaatema (Eeeheeehee) Chorus Nadeke… nadekezwa Nadeke… nadekezwa Nadeke… nadekezwa Nadeke… nadekezwa Nadeke… nadekezwa Nadeke… nadekezwa Nadeke… nadekezwa Nadeke… nadekezwa Nadeke… Nadeke… Verse 2 Yani masham sham, mtoto kanikabiri oooh hoho Hadi na come come, kuminambili arufajiri Na nishamvesha ...
Comments
Post a Comment