RUDI LYRICS BY RICH MAVOKO FT PATORANKING

Verse 1 - [Rich Mavoko] Sauti na tabasamu lako Ndio vinafanya nikukumbuke Kinachoniumiza mwenzako Unapolia chozi nsifute Mapenzi sidhani mimi Kilichobaki ni uadui Kuniona hautamani kwanini Kweli maziwa nimegeuka tui Nami nina moyo Yapita miaka mingi sijakuona Nami nina moyo mama Upate siku moja uje niona Nami nina moyo Yapita miaka mingi sijakuona Nami nina moyo mama Ungalisema neno moja ningepona Chorus - [Rich Mavoko] Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi) Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi) Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi) Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi) Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi) Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi) Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi) Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi) Verse 2 - [Patoranking] Sickness Sickness Sickness small me Well me yes, you are dumping me In this wicked World Baby every one needs a company My heart bleeds For your Love Girl i bleed for your love Me, Me can imagine If u know dey me, what a sad ting (aaaaaeeeeeh) I can't imagine You inna me...