Posts

TAMU LYRICS BY MBOSSO

Image
Intro Wasafi Records…  Verse 1 Ooh Kasuku mwenye sauti nyororo, Mususu ya soro ndombolo  Na bando letu la buku,Twapeluzi mpaka tommorrow  Mambo iko huku, Penzi twalila kwa solo  Hmmm Anipelekesha, msobe msobe, Kama fuso lapanda mlima  Na nilivyo fundi kuchelewesha, Kobe kobe Simpi dusko nzima nzima (aah)  Hook Mukoroge sumu munywe, kwenye vijiba vya roho  Yatawatoka mapunye, Mumwe kwashakoo  Tena wavimbe na wanune, ishakua yako Itafune imung'unye, ifike kunako  ooh baby Chorus Kushika kiuno (tamu)  Niku chumu chumu (tamu)  Niki kukumbatiaa (tamu)  Tamu kolea Penzi letu baby (tamu)  Yani mpaka kisogoni (tamu)  Torororoo (tamu)  Tamu kolea  Verse 2 Baby tufanye wazi wazi watuone, Picha weka DP na makopa kopa caption  Baaby walokosa kazi wanong'one, Wapandishe BP Wapumue kwa oxygen  Waamb...

NITAKE NINI LYRICS BY LAVA LAVA

Image
Verse 1 Aaa eeh, ee eeh Kkwako tena sitamani, Nilishajua nilivaba huna jiipya Kurudi haiwezekani, Nishalioga janaba nikajisafisha Mmmh Oh maradhi yangu, Yamepata muuguzi Mola waangu, Amenivusha viunzi Pole mwenzangu, Unaekesha kwa waganguzi Nisahapata waangu, Anaejua nogesha chuzi Hook Naaa, ananipa mapenzi, Na kunijali dear Ya nyuma niyasahau Naaa, anamaliza tenzi, Kutwa kunisifiaa Kwa methali na nahau Chorus Kwengine nitake nini (Ntang'ang'ana nag'ang'ania) Oooh mimi (nang'ang'ana nang'ang'ania) Sitaki madanga wa mjini (nang'ang'ana nang'ang'ania) Oooh mimi (nang'ang'ana nang'ang'ania) Ah atake cha uvunguni (saawa sawa) Bingili za sakafuni (saawa sawa) Michezo ya kusaka kunguni (saawa sawa) Eh eh eh, Tom na jerry cartoon (saawa sawa) Saawa Verse 2 Uliposema wa nini, Ye aliwaza atanipata lini Ngendembwe za nini, Na vijembe vya chini chini Yupo makiini, Penzi kashalibana na pini Anipenda ...

MWAMBIE SINA LYRICS BY KINGS MUSIC (ALIKIBA, ABDU KIBA, CHEED, K2GA, KILLY)

Image
Verse 1 (Killy) Nafsi inalalama, Sina  mwambiee Kila nikimtazama kwa kina kiukweli Mmwambie silali, Tena ananipa tabu Kwake me sina hali, Ninampenda yeye tu Oooh, Sina, sina aaa, sina mwambieni Ye ndo dawa yangu, (Dawa) Sina (dawa), sina aaah Sina mwambieni ooh Chorus (Alikiba) Mwambie sina, Wakutamba nae (sina mie) Mwambie sina, Wa kuringa nae (sina mie) Mwambie sina, Wakutamba nae (sina mie) Mwambie sina, Wa kuringa nae (sina mie) Kama ni gari me, Nimpatie yeye (anijue) Kama ni nyumba me, Nimpatie yeye (anitambue) Kama ni gari me, Nimpatie yeye (anijue) Kama ni nyumba me, Nimpatie yeye (anitambue) Verse 2 (Cheed) Nenda mwambie mimi sina oooh, Wa kumpa siri zangu anitunzie moyo Tena mwambie mimi niko hoi, Me nampenda aiyo iyo iyo iyo Me napenda hesima, Atulie nimuweke ndani Kanichapa usinga, Kanifunga mdomo siachami Ona napata shida ya moyo why yoyo ma Mamy yo yo mamy yo yo yey (wakutamba nae) Chorus (Alikiba) Mwambie sina, Wakutamba nae (sina ...

ZAIDI LYRICS BY JUX

Image
Its bob manecky Na na na na×4  Verse 1 Zinanitoka goose bums, Nikisikia jina lako  Mimi naweukaa, Kabisa me ni chizi wako  Na kama ni mganga eeeh  Mzuri uyo mganga wako  Sio kwa kunipumbaza uku, Baby  Mmhh Hook   Mamy ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh  Tena na sukari guru, Utamu nikitafuna eeeh Baby ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh  Tena na sukari guru utamu nikitafuna eeeh  Mmh Pre - Chorus Kama ni pili pili maa (na na na na)  Na na na ah Acha ukali niusikie (na na na na) Na na na ah Kama nivita mama (na na na na) Na na na ah Acha adui wanivamie (na na na na) Na na na ah Kama we ni asali maa (na na na na) Na na na ah Acha na nyuki wanivamie (na na na na) Na na na ah Lakini penzi lako baby (na na na na) Na na na ah Ata kidogo lisipungue (na na na na) Na na na ah No no nooooo  Chorus Zaidi zaidi zaidi zaidi (mhmhh)  Nipe nipe Zaidi...

NAOGOPA LYRICS BY RICH MAVOKO

Image
Verse 1 Nipige guiter keyboard, Au ni sing I swear Niimbe tamu melody, Au......................... Remember mtukuzi toddi, Ukumbuke we Niforce nilipe kodi, Niishi na wee Nimeridhika mtoto we maridhawa, Kwa umbo Patashika shinji kagawa, Kiungo Kama nakuona unaingia chumbani (unaingia chumbani) Nakuona unapanda kitandani eeh Kama nakuona unaingia chumbani (unaingia chumbani) Nakuona unapanda kitandani eeh Hook Ooh my sweet baby Aaah, I miss you oh (umebeba moyo wangu) Aaah, I love you oh (my sweet baby) Aaah, I miss you oh (umeninogesha kwa chachandu baby baby baby eh) Aaah, I love you oh (my sweet baby oh) Chorus Naogopa ugonjwa wa moyo huo Ah ugonjwa wa moyo huo Naogopa ugonjwa wa moyo huo Moyo nitaubebaje Naogopa ugonjwa wa moyo huo Ah ugonjwa wa moyo huo Naogopa ugonjwa wa moyo huo Kukuacha naanzaje Verse 2 Aah ah, Salima mama salima, Papi kocha seya salima (seya wamiparo) Aah ah, Naima kweli naima, Umenihaibisha kisa karina Ule mchupa...

SWAGIREE LYRICS BY WEUSI

Image
Chorus (Joh makini & G Nako) Ungana nasi ma mezani le Temana nasi ka umekaa ki le x2 Usikae ki le (swagire) Swagire x3 Maside le eh Ungana nasi ma mezani le (ma mezani le) Temana nasi ka umekaa ki le (ka umekaa ki le) Mafala si ndo wamecatch eh (wamecatch le) Mafala si ndo wamecatch eh Verse 1  (G Nako) Ahh, Hii ngoma si ya kitoto wapi ID Watoto wanapinda vibinda, Nenda IG Idea hapa ni kuwamaliza flow ni tichi Vijana wamecorrupt medulla ita IT Imekula, Wazee tuliwakatia genge Imekula, Chuki zinaleta unenge Imekula, Iki chuma chuma ulete Imekula, Mganga MUNGU mambo ni yente Hook (Joh Makini) Viburi flow, viburi flow, viburi flow Atukutani kwenye dirisha la malipo x2 Chorus (Joh makini & G Nako) Ungana nasi ma mezani le Temana nasi ka umekaa ki le x2 Usikae ki le (swagire) Swagire x3 Maside le eh Ungana nasi ma mezani le (ma mezani le) Temana nasi ka umekaa ki le (ka umekaa ki le) Mafala si ndo wamecatch eh (wamecatch le) Mafala si ndo...

GO GAGA LYRICS BY LAVA LAVA

Image
Abbah... Verse 1 Ana, Jicho la kukonyeza, Ana mikogo ka shakira (mmh) Nyuma mkia wa pweza, Shepu katapira Mechi tunazo zicheza, kitandani fundi mpira Ameniweza, Napumua kua mipira Hook Tena, kiuno laini, Chuchu dodo dodo Kitovuni kipini, Mtoto jojo jojo Avae dera kimini, Nyuma rojo rojo Katoto ndizi maini, Yani sotojo tojo Yih.. Chorus Aah Go gaga (ah eh) Fanya kama unataga (ah eh) Tuzivunje chaga (ah eh) Ongeza mazaga zaga (ah eh) Ah Go gaga (ah eh) Fanya kama unataga (ah eh) Tuzivunje chaga (ah eh) Ongeza mazaga zaga Basi waonyeshe (waone) Waone Basi waonyeshe (waone) Waonyeshe (waone) Basi waonyeshe (waone) Waone Basi waonyeshe (waone) Waonyeshe (waone) Basi waonyeshe Verse 2 Mungu alikuumba kwa udongo, We mtoto fire (fire fire) Utaja nipa mazongo, Ukija retire (tire tire) Eh Nizidishie uhondo, Stimu za kaya (kaya kaya) Si chururu ndondondo, Penzi likapwaya (pwaya pwaya) Unavyo nichanganya manuva (iyeh) Kiuno speed kama msuva (iyeh) Kw...